Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Waasi waliojihami kwa silaha wamemuua mwanajeshi mmoja baada ya kushambulia nyumba ya Rais Joseph Kabila iliyoko eneo lenye mgogoro la Mashariki ambako mapigano hutokea mara kwa mara, wanajeshi walisema Alhamisi.
 
Kabila hakuwepo kwenye nyumba hiyo wakati wanamgambo wa Mai-Mai waliposhambulia nyumba hiyo karibu na mji wa Beni na wakakabiliana na wanajeshi wa serikali waliomudu kuzima shambulio.
 
Kabila hakuwepo kwenye nyumba hiyo wakati wanamgambo wa Mai-Mai waliposhambulia nyumba hiyo karibu na mji wa Beni na wakakabiliana na wanajeshi wa serikali waliomudu kuzima shambulio.
 
Hili ni shambulio la pili kwa nyumba za rais katika muda wa miezi mitatu jambo ambalo ni kielelezo cha kuzidi kuzorota kwa hali ya usalama nchini DR Congo kwa upande mmoja kiini kikiwa hatua ya Kabila kukataa kujiuzulu mwaka 2016 kipindi chake cha uongozi kilipoisha.
 
Hali ya usalama mashariki kwa nchi, eneo lililogeuka kuwa la mapigano ya kikabila, imezorota mwaka huu kutokana na mamlaka za serikali kuteleza hali iliyolazimu makumi kwa maelfu ya watu kukimbilia nchi jirani na kutishia kuivuruga nchi nzima.
 
Loh!!!
Mimi nimelitunza,unakata nyimbo kwenye gazeti unabandika kwenye daftari.
Zinaimbwa muda wa slow jam-ITV au radio one usiku kuanzia saa nne ...usiku tulivu...
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], aisee ilikuwa raha sana.
Nilikuwa namganda mazeri kuninunulia magazeti..Nilichokuwa nakitafuta pale ni riwaya (Shigongo, Faki A.Faki, Zubagy Akilimia,) pamoja na nyimbo.
Ulikuwa mwendo wa kubandika nyimbo na picha za Fantasia mwanzo mwisho..Hahahaha..

Mwendo wa nyimbo za westlife, Marc Antony..

Sio watoto wa sasahivi wanawaza appointments tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…