Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

UBANGUAJI NA UTUNZAJI WA KARANGA
Kubangua karanga ni kazi ngumu. Mtu mmoja anaweza kubangua kiasi cha kilo 12-15kwa siku. Karanga zilizopo kwenye kundi la Virginia hubangulika kirahisi, kuliko aina ya Spanish au Valencia.Mashine za kubangulia karanga hupatikana hapa nchini, zinarahisisha kazi, lakini tahadhari isipochukuliwa huharibu karanga.
Karanga zinazokusudiwa kutunzwa kwa muda mrefu, zitunzwe na maganda yake kwenye ghala. Ghala iwe kavu, yenye kupitisha hewa, na imara kuzuia wanyama waharibifu kama vile panya.Ubora na uwezo wa karanga kuota huanza kupotea mara baada ya kubanguliwa
 
MATUNZO Ili kuwa na mavuno ya hali ya juu, ni lazima magugu yadhibitiwe kabisa. Karanga ni dhaifu sana katika kukabiliana na magugu hasa katika kipindi cha mwanzo cha ukuaji. Ni lazima palizi ifanyike mapema wakati huo miche ikiwa inachomoza kwenye udongo. Miche ikashachomoza palizi ifanyike kwa mikono ili kuepuka usumbufu kwa karanga changa au kuharibu maua. Palizi ya kawaida inaweza kufanyika mpaka kwenye kipindi cha wiki 6 na palizi ya mikono ifanyike baada ya hapo.
 
Virutubisho pekee vinavyohitajika kwenye shamba la karanga ni kalishamu. Kalishamu hunyonywa moja kwa moja na viriba vya karanga endapo udongo una unyevu unyevu. Kama kutakuwepo upungufu wa kalishamu, viriba vya karanga vitakuwa vitupu bila kuwa na karanga. Mimea inayohitaji Naitrojeni inaweza kupatikana kwa kushirikisha mimea mingine kama vile kunde, badala ya kuweka mbolea ya Naitrojeni kwenye udongo.
 
MAVUNO Karanga zinazokomaa kwa muda mfupi zinaweza kuvunwa kati ya siku 85-100 tangu kupandwa, na zinazochukua muda mrefu zinaweza kuvunwa katika kipindi cha siku 110-130 tangu kupandwa. Ng’oa mashina machache kuona kama karanga zimeshakomaa. Karanga zilizokomaa ni lazima ziwe na rangi ya kahawia kwa nje, ngumu na zilizokauka.
Kwa kawaida karanga zilizokomaa ndani ya kiriba huwa na rangi ya kahawia, na hutoa sauti inapotikiswa. Magonjwa yanaposhambilia majani ya karanga yanaweza kusababisha karanga kuvunwa kabla hazijakomaa sawa sawa. Ni lazima karanga zichimbwe kwa umakini ili kuepuka karanga kupasuka na kubakia ardhini. Anika kwa siku 2-3, kisha zikwanyue na uanike tena kwenye jamvi kwa siku 7-10 ili kuondoa unyevu kufikia asilimia kumi.
Ubambuaji wa karanga ufanyike kwa mikono au kwa mashine maalum. Karanga zilizopondeka, chafu au kuharibika zitengwe kwani zitapunguza ubora wa karanga na kupunguza bei ya kuuzia. Endapo karanga hazikuhifadhiwa vizuri zinaweza kushika unyevu unyevu ambao husababisha sumu inayojulikana kama aflatoxin ambayo ni hatari sana kwa afya ya binadamu hasa ini. Karanga ambazo zitatumika kwa ajili ya kupanda (mbegu) msimu unaofuata zisibambuliwe kutoka kwenye
 
Historia ya maisha yake inavutia sana. Napenda kuzisikiliza nyimbo za tenzi kwa jinsi alivyo ziimba kwa hisia
Niliziona nyimbo zake kwa Mama lishe siku moja nikipata supu ya mapupu ilibidi nizitafute zote. Ana upekee sana kama naye hataharibika huko mbele na kuingia kwenye kusaka pesa kama waliomtangulia...

Historia yake ikoje? Kuna mahali anaiongelea? Nyimbo za Tenzi amezihuisha na nyimbo zake zote zina kitu fulani hai. Mungu Aendelee kumbariki...

[emoji116][emoji116]Wimbo huu lazima niusikilize kabla sijalala [emoji116][emoji116][emoji116]
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124]ndotoni! Ukiwa umelala...tena kwa kujiachia...ndoto...Shimba kamingi yua wei...kwa muonekano halisi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji449] [emoji449] "Pyaar ka punchnama"[emoji448] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji443]
Mkuu mkuu. Leo nimeotwa wuhuuu !!!

Lakini kweli itabidi aseme. Aliponiota alikuwa amelalaje na nilikuwa nafanya nini katika hiyo ndoto...

Kwa upande mwingine inatisha kidogo. Mtu anakuota "katika mwonekano halisi". Mwotaji isije akawa anajihusisha na taaluma ya akina Mshana Jr...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
IMG-20180331-WA0021.jpg
 
Back
Top Bottom