Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], aisee ilikuwa raha sana.
Nilikuwa namganda mazeri kuninunulia magazeti..Nilichokuwa nakitafuta pale ni riwaya (Shigongo, Faki A.Faki, Zubagy Akilimia,) pamoja na nyimbo.
Ulikuwa mwendo wa kubandika nyimbo na picha za Fantasia mwanzo mwisho..Hahahaha..

Mwendo wa nyimbo za westlife, Marc Antony..

Sio watoto wa sasahivi wanawaza appointments tu.

Kama nakuona unaimba kwa kufuatiliza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Good morning!!
Jamani Shimba ya Buyenze leo nimekuota. Sura + muonekano wako halisi umenijia ndotoni..
[emoji124] [emoji124] [emoji124]ndotoni! Ukiwa umelala...tena kwa kujiachia...ndoto...Shimba kamingi yua wei...kwa muonekano halisi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji449] [emoji449] "Pyaar ka punchnama"[emoji448] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji443]
 
1F03D765-C766-4066-A755-EB423BE5FAD3.jpeg
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124]ndotoni! Ukiwa umelala...tena kwa kujiachia...ndoto...Shimba kamingi yua wei...kwa muonekano halisi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji449] [emoji449] "Pyaar ka punchnama"[emoji448] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji443]
Haswa!
Hahaahha! Hayo mengine umeongeza chumvi. Kumbe ulishaicheck hyo Pyaar ka punchnama.
 
Back
Top Bottom