Dalili za ugonjwa wa batobato
(Cassava Mosaic Disease-CMD)
Dalili hutokea kwenye jani lenye uwaraza wa michirizi ambazo huathiriSehemu zisizokunjamana za kutoleahewa hufahamika katikhatua za Awali za ukuaji wa jani.
Sehemu za kloritiki hushindwa kutanuka hadi mwisho, hivyo mvutano unaji-tokeza kutokana na ukuaji usiolingana na jani amajani madogo yaliyoharibika.
Majani yaliyoathirika sana hupungua ukubwa wa umbo, na hujikunja na kujitenga kwa
Sehemu zenye rangi ya njano na zenye rangi ya kawaida ya kijani.
Ukoma wa mhogo huambukizwa kwenye vipandikizi vya shina ambavyo kwa kawaidahutumika kuzalishia mmea.Pia huenezwa na inzi mweupe (white fly) aitwae Bemisia tabaci G. Aina mbili za inzi auMbu hao Bemisia (Preisner Hhosny na Aleorodius disperses R) pia huambukiza mihogo katika nchi za Afrika na IndiaUsambazaji wa vipandikizi unaweza kusababisha kuenea kwa ugonjwa wa CMD katik Maeneo mapya.
UHIBITI NA KUZUIA
-Hatua ya msingi ya kuzuia ugonjwa wa CMD ni kwa kuchagua vipandikizi kutoka kwaMmea ambao hauna uambukizo wowote. -Ubora wa mashina unahitajika kwa kuendelea kuchagua na kuangamiza kwa kung’oa ile Mihogo iliyoambukizwa ambayo inaonekana wakati wa kuchipua
-Hakikisha kuwa wakati wa kuvuna mihogo kwa ile iliyoathirika na ugonjwa wa CMDinaangamizwa kwa kuchomwa moto. -Hakikisha kuwa unatunza shamba na kuwa safi ili kupunguza wadudu waenezao CMD.
-Hakikisha una elimu ya kutosha juu ya dalili za ugonjwa wa <CMD>
Wadudu hawa hushambulia kwenye ncha za mashina/matawi kwenye majani machanga. Athari zake ni kwamba majani yanadumaa na kujikusanya pamoja, hivyo basi kupunguza ukuaji wa mmea kwa ujumla. Vile vile urefu kati ya pingili na pingili huwa fupi sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.