Jizazi......Good morning!!
Jamani Shimba ya Buyenze leo nimekuota. Sura + muonekano wako halisi umenijia ndotoni..
Niliziona nyimbo zake kwa Mama lishe siku moja nikipata supu ya mapupu ilibidi nizitafute zote. Ana upekee sana kama naye hataharibika huko mbele na kuingia kwenye kusaka pesa kama waliomtangulia...Historia ya maisha yake inavutia sana. Napenda kuzisikiliza nyimbo za tenzi kwa jinsi alivyo ziimba kwa hisia
Ni kweli tupu mkuu...[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mkuu mkuu. Leo nimeotwa wuhuuu !!![emoji124] [emoji124] [emoji124]ndotoni! Ukiwa umelala...tena kwa kujiachia...ndoto...Shimba kamingi yua wei...kwa muonekano halisi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji449] [emoji449] "Pyaar ka punchnama"[emoji448] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji443]
Siyo kwa Wabongo mkuu...hasa hawa wa sasa...Mwenzio akiwa anazama mrushie kamba
Amen [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
This is a true survivor right here...Don't hide your scars wear them as proof that God can heal ~Kanisha Anthony [HASHTAG]#burnsurvivor[/HASHTAG] [emoji171] View attachment 730065
Kongo is loaded mkuu. Aache amwachie nani? Mpaka wamfanyie walichomfanyia babake....Kabila aamue tu awapishe wenzake sasa hivi.Kwa nini viongozi wa kiafrika hawaachi chokochoko?