Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
They all look alike?
Hahahahaha dah nimecheka Sana
Ijumaa creemu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wapi hii Numbisa nije fasta
Nani mwenye mamlaka hapaWakati uongozi unaosimamia barabara za mabasi yaendayo haraka (BRT), ukipiga marufuku magari ya wagonjwa na polisi kutumia barabara hizo, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema watalazimika kuzitumia barabara hizo wakati wa dharura.
KraistJizazi......
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mkuu mkuu. Leo nimeotwa wuhuuu !!!
Lakini kweli itabidi aseme. Aliponiota alikuwa amelalaje na nilikuwa nafanya nini katika hiyo ndoto...
Kwa upande mwingine inatisha kidogo. Mtu anakuota "katika mwonekano halisi". Mwotaji isije akawa anajihusisha na taaluma ya akina Mshana Jr...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28], Nilikuota umesimama ukawa wanisemesha.. Muda huo mimi pia nimesimama..hahahhaMkuu mkuu. Leo nimeotwa wuhuuu !!!
Lakini kweli itabidi aseme. Aliponiota alikuwa amelalaje na nilikuwa nafanya nini katika hiyo ndoto...
Kwa upande mwingine inatisha kidogo. Mtu anakuota "katika mwonekano halisi". Mwotaji isije akawa anajihusisha na taaluma ya akina Mshana Jr...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha! Hii bangi ya Soweto hii.Wasije wakasema ni Mwakaleli [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
View attachment 730392
YapSiku imeshika kasi
Vitawale daimaAmani na upendo
Hahahahahha! Tunachoma moto
IndeedHaki na usawa