Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Makamu wa rais wa Botswana, Mokgweetsi Masisi, ameapishwa kama rais katika sherehe iliyofanywa mji mkuu, Gaborone.
Masisi, ameshika hatamu kutoka kwa Rais Ian Khama, ambaye aliondoka madarakani jana, baada ya kuongoza kwa miaka 10.
 
Botswana itafanya uchaguzi mwaka ujao.Botswana ni ya pili kati ya nchi zinazochimba almasi nyingi kabisa.
Baada ya kuapishwa, Rais Masisi, alisema kuwa kupunguza ukosefu wa ajira kati ya vijana, ndio jambo muhimu kabisa kwake, na pia aliahidi kuyapa kipa-umbele, mapambano dhidi ya Ukimwi, utumizi mbaya wa ulevi na madawa ya kulevya, pamoja na rushwa.
 
Mshambulizi wa Atletico Madrid Antoine Griezmann amekataa kuhamia Old Trafford na badala yake kuamua kuhamia Barcelona. Mchezaji huyo wa miaka 27 anataka kusalia La Liga kwa pauni milioni 88 akiijiunga na Barcelona. (Sun)
 
Lol! Hakuna jinsi SYB huyu ni wa kufunga virago tu. Kishachokwa kupita kiasi. Washabiki wenye hasira za kufa mtu wanaweza kabisa kumdhuru.
Sijui naye tumpachike jina la nduli au dhalimu? Sijui kwa nini huwa vigumu kuona kuwa hapa panatosha sasa na mtu unaondoka kwa heshima. Kwa wanasiasa angalau naelewa lakini hata kwa mtu kama kocha ambaye tayari ni milionea? Binadamu wakati mwingine tunashangaza sana !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…