Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Uzi huu sijui kama utakuwa na kikomo. Mtu unapumzika halafu ukirudi unaukuta upo vile vile tu unachanja mbuga. Tumshukuru Mungu kwa vile umerudi salama !!!Mkuu majukumu yalibana, sasa nimesharejea rasmi. Naona uzi mmeutendea haki ipasavyo
Woyoooo.[emoji23][emoji23][emoji23]
Wooooiiii
Safi kakake,za kupotea?Swaaaafi dadake, mambo vipi.
Uzi huu sijui kama utakuwa na kikomo. Mtu unapumzika halafu ukirudi unaukuta upo vile vile tu unachanja mbuga. Tumshukuru Mungu kwa vile umerudi salama !!!
HahahhaaNimeangalia huko. Ni kazi kweli kweli. Wengine wana watoto wanne tayari. Mwingine ana miaka 22 anatafuta mhenga wa miaka 35. Yote kwa yote Mungu Awasaidie wapate wanachokitafuta. Happy Easter bageshi [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Asante. Misemo mingine inaniponyoka.Maharage Mkuu
Mandondo ni maini ya uswahilini aka maharageMandondo ndiyo nini?
Karibu sana.Woyoooo.
Nimekuja nimekujaaa
Si mbaya kuna sku kuu nyingine zna kuja .ntakuita ule hata sabasaba tuu.[emoji20] [emoji20] [emoji20]
Sio vizuri[emoji124] [emoji124]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Wakati mwenyewe unajipa likizo lakini uzi unakimbizwa tu[emoji3] [emoji3] watu hapa si wa kispotispotiUzi huu sijui kama utakuwa na kikomo. Mtu unapumzika halafu ukirudi unaukuta upo vile vile tu unachanja mbuga. Tumshukuru Mungu kwa vile umerudi salama !!!
Heri ya pasaka nyanya rukiaMama kiarie
Ni kweli mkuu. Uzi huu umefanikiwa kukwepa kilichoifanya Makapuku ikadumaa. Wageni hapa wanakaribishwa vyema tu na ni ruhusa kujiachia. Makapuku ilifika mahala wenyeji wakajiona kuwa wanamiliki uzi na mgeni ukienda huko unasusiwa. Tuendeleeni hivi hivi na Jirani yetu akihimiza upendo, kujaliana na kusameheana kama ambavyo tumekuwa tukifanya !!!Pia wageni hujiunga na uzi huu kwa wingi tu na hivyo kuendelea kuupa uhai mrefu.
Kuna muungano tarh 26[emoji39]Si mbaya kuna sku kuu nyingine zna kuja .ntakuita ule hata sabasaba tuu.
Leo umechelewa kuingia jukwaani
Hahahahaha! Ndiyo kabisaMandondo ni maini ya uswahilini aka maharage
Eti maini ya Uswahilini. Watu mna maneno dah !!!Mandondo ni maini ya uswahilini aka maharage
AsanteAsante. Misemo mingine inaniponyoka.
Makande yanapikwa na njugu mawe, kunde, dengu, mandondo na kila aina ya vikolombwezo.
[emoji5] [emoji5] [emoji5]Kwakweli nyie watu kwa kugonga likes hamjambo[emoji1] [emoji1] [emoji1]