Aah bana mwanaume wa dar ukimuandalia hivyo utatukanwa matusi yoote duniani kimoyo moyo lakin huku kakunja sura anakula kama anatafuna makaa ya motoKwa nini iwe aibu kukaribisha wageni? Kisa makande? Yaliyokobolewa yakachanganywa na njugu mawe na karanga zilizosagwa kidogo halafu unasukumizia na maziwa mgando mbona hata huo ubwabwa hauoni ndani?
Hawa Chelsea nao mwaka huu vipi? Arsenal B ama?
Siku hiyo tuna mshughulikia mkuu wa nchi nan.Kuna muungano tarh 26[emoji39]
Aah umechelewa mkuu,next pasaka ntakukaribisha hahaah[emoji1] [emoji1] mi nikaribishe nakulaga hayo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mkuu uswahili kuna vituko[emoji3] [emoji3] [emoji3]Eti maini ya Uswahilini. Watu mna maneno dah !!!
Baada ya tetesi ya Mwanamitindo na Video Vixen kutoka Kenya , Vera Sidika kuwa anaujauzito hatimaye mwenyewe ameweka wazi juu ya tetesi hizo habari hizo ni za kweli na sio tetesi tena.
Mrembo huyo ambaye anavutia wanaume wengi kutokana na umbo lake, hajaweka wazi ni nani aliyempa ujauzito huo ila amesema ameipokea kwa furaha kwani ndoto yake ilikuwa ni kuzaa kabla ya kufikisha miaka 30.
Mrembo huyo ambaye anavutia wanaume wengi kutokana na umbo lake, hajaweka wazi ni nani aliyempa ujauzito huo ila amesema ameipokea kwa furaha kwani ndoto yake ilikuwa ni kuzaa kabla ya kufikisha miaka 30.
Kweli kabisa, hata mie nilivyoingia na ugeni wangu, nikauona huu uzi nikasema hili ndo litakuwa chimbo langu, baada ya kupata support ya nguvu,Asante mkuu. Ndiyo maana hapa hata ligi za mafisi na manyumbu hazipo sana. Hata zikijitokeza zinamalizika kwa amani na watu wanaendelea kugonga likes tu. Mimi nikilikorofisha huko majukwaa mengine na kutolewa ngeu huwa nakimbilia hapa kuja kuuguliza majeraha. Uzi safi kabisa na usiozalisha ban hovyo hovyo...
Napenda makande ya njugu maweAsante. Misemo mingine inaniponyoka.
Makande yanapikwa na njugu mawe, kunde, dengu, mandondo na kila aina ya vikolombwezo.
Sina uhakika ila nadhani hivyo. Ni mpenzi mkubwa wa makalikyulasi...Kumbe ni mtu wa EE huyu eh! Ajira zake bwelele na mshahara mnono sana.
Niliandaa njaa ya kula hadi mabaki daah![emoji134][emoji134]Hata mimi sijaalikwa shemeji. Nilitegemea pengine huko kwako nije nikusaidie kuua na kale kanyoka kakorofi ka kwenye veranda lakini kimyaaaa. Nimechemsha birika zima la tangawizi niko hapa nafakamia alone na maisha yanakwenda. Hopefully pasaka yako inakwenda vyema; na uko off leo ukifurahi na "pimbi" wako. Masihi Amefufuka Hallelujah [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Duuu, kumbe nilikosa udambwi dambwi mwingi hapa. Nyanya Rukia na maza Kate?Na kwako pia maza kate
Katekwa huyu anamiliki jimama mtaa wa pili linampeleka kasi ya 4gWapi kichwa kichafu aka KK
Hio supu ya kongoro ningeisamehe. Ishanishinda zamaan anzia harufu mpaka ulain wake.Kweli kabisa, hata mie nilivyoingia na ugeni wangu, nikauona huu uzi nikasema hili ndo litakuwa chimbo langu, baada ya kupata support ya nguvu,
Numbisa
Shimba
Tabhani Yego
Asanteni kwa mapokezi yenu yaliyojaa ukarimu na upendo mwingi.
Mngekuwa jirani hapa tungejumuika pamoja kupata supu ya kongoro..
Bila kuwasahau madrone na makwini waliobaki wote.
Saluti kwenu.
Naona kuna vichwa humu vinakimbiza si mchezo