Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kuna machenza mengine utamu wake si wa dunia hii. Unaweza kung'oa mti mzima hata kama uwe tayari una mtu anayeutunza na kuupalilia [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Chezeya utamu wa chenza Mkuu unaweza kumeza hadi mbegu zake LoL!
Hivi chenza lina mibegu eeh?Chezeya utamu wa chenza Mkuu unaweza kumeza hadi mbegu zake LoL!
Slei kwini mwenzio yuko wapi leo?[emoji23] [emoji23]
Wai[emoji124] [emoji124]
Ewaaaaaah[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sisi wapenda majimama hili haliwezekani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Word! Niliwahi kuingia kwa makapuku siku za nyuma na kutoa likes za nguvu lakini nilijiona niko ugenini nikasepa kimya kimya ila siku niliyoingia hapa rasmi nilipokelewa vizuri sana na kujiona kama nilikuwepo siku nyingi.
NAJUTA KUCHELEWA kujiunga na uzi huu.
Upendo, kusahemeheana, kujaliana na kuheshimiana ni vitu muhimu sana Mkuu.
Hahaaaha! kweli bwana, sio kusimikasimika tu.
Yawezekana ila usijaribu kuyatumiaSiku hizi nasikia kuna mafuta huku kwetu bongo,yanaongeza malighafi
Hivi chenza lina mibegu eeh?
Hasa wale wa maji moto...[emoji23][emoji23][emoji23]
"Konokono"
[emoji23] slei kwini anajinoa kwanza aje kuslei huku uzini nyanyaSlei kwini mwenzio yuko wapi leo?
Ewaaaaaaaah mme wangu Mshana jr si ndo mambo yako hayaaa huwa unanibeba mpaka natokwa na machozi ya furahaa unajua kunidekeza mwanaume weyeeeeNitaje nifurahi CHAMDEKO wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna machenza mengine utamu wake si wa dunia hii. Unaweza kung'oa mti mzima hata kama uwe tayari una mtu anayeutunza na kuupalilia [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Wenzio wanazungumzia "chenza" OhoooHivi chenza lina mibegu eeh?
Hahahahahha!! Wamaanisha lisiwe chungwa?Ndiyo Pyaar lakini chenza hili ni chenza ambalo ni chenza lol! Wapi Mkuu wa machenza Wakuu!?
Hakuna ambacho hakiwezekani bhana[emoji23][emoji23]Sisi wapenda majimama hili haliwezekani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wale vibonge sasa[emoji16]
Wewe tenaaaa aiiiiish My Jr niseme nn mimi?Nitaje nifurahi CHAMDEKO wangu
Naanzaje kwa mfano[emoji23][emoji23][emoji23]Yawezekana ila usijaribu kuyatumia
Wenzio wanazungumzia "chenza" Ohooo