Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nqona umeamua kudownload[emoji57] [emoji57] [emoji57]
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Sasa shem kama uko na uwezo wa kumbemba ndani ya uwanja wa fundi unashindwaje kumbeba bafuni[emoji23][emoji23]
If you die you die
Jamaniiiii...Kwenye uwanja wa fundi kunakuwaga na nguvu za ajabu hata sijui huwa zinatokaga wapi...Ukijumlisha na usongo wa kulinda heshima ya ukoo the impossibles become possible...
 
Wengine wanafikiri kula dagaa ni kuishiwa[emoji28][emoji28], wana kamsemo kao "Ooh hatuli misumali" Misumali?? Inakutoboa utumbo??

Ndugu zake Andjul bhale na tuja gete,
"Heeee! heeee! heeee! Ugwe utulishe indagala 😳 😳 😳 mma gwe!
Ngogwe (nyanya chungu) kwao sumu.
 
Zipo sababu nyingi zimetajwa kuwa zinaweza kumfanya mtu aishi kwa furaha ambazo ni pamoja na kuamini katika kipato chako; kudumisha amani ya moyo huku ikitajwa furaha hiyo kuwa ni moja ya sababu zinazoweza kukufanya uwe na afya nzuri.
 
Leo nimekutana na hii ya njia sita ambazo furaha inaweza kuimarisha afya yako.
1: Furaha huulinda moyo wako
Utafiti unaonesha kuwa asili ya upendo na furaha siyo moyoni lakini husaidia kuulinda huku ikibainika kuwepo kwa uhusiano baina ya furaha na vipimo vingine vya afya ya moyo kama vile muda unaotumika wakati wa pigo moja la moyo na lingine na kuzilinganisha na hatari kadhaa za magonjwa ya moyo.
 
Furaha huimarisha mfumo wa kinga mwilini
Utafiti unaonesha kuwa mfumo wa kinga ya mwili hupanda na kushuka kutegemea na furaha aliyokuwa nayo mtu ambapo kuna uhusiano mkubwa baina ya furaha na mfumo imara wa kinga.
 
Furaha huzuia mkazo (stress)
Mkazo (stress) hausababishi matatizo ya kisaikolojia pekee bali pia husababisha mabadiliko ya ki-biology katika homoni zetu na shinikizo la damu. Furaha inatajwa kupoza hasira za athari hizi na wakati mwingine kutusaidia kurudi katika hali ya kawaida kwa haraka.
 
Watu wenye furaha hawaumwi mara kwa mara na huwa na kiwango kidogo cha maumivu
Watu ambao wana mood nzuri wana nafasi nzuri sana ya kuimarisha furaha ambayo huwasaidia kutoumwa homa za mara kwa mara na huwa na kiwango kidogo cha maumivu tofauti na watu ambao wana mood mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…