Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Saksafoni lako likitulia una busara za ajabu. Basi tu !!!
Maisha ya mswahili yana shabihiana sana. Leo hii ukija kwangu utatamani uishie njiani kwa jinsi ninavyo kuporomosha kwenye makorongo ikiwa tu ulitaka unifananishe na andjul wa kwenye Jf,lakini kama kuna kipya unataka ukipate kwa andjul halisi utavumilia na furaha juu.

Karibu kwetu,kwa amani kabisa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Demiss kwenye ubora wako
 
Nitafika mkuu. Na inavyoonekana tuna falsafa zinazofanana fanana kuhusu maisha. Mungu Aendelee kutupa uzima...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…