ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,468
- 67,492
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nyanyaaaaa eti kweli una mwandiko mbaya?[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
Atakujibu mwezi wa tano
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nyanyaaaaa eti kweli una mwandiko mbaya?[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
Unatumia kinywaji gani karibu ? Mkuu
Mungu atulinde tu kwakweliYeah! Very sad kinachosikitisha sana hata Viongozi wa dini badala ya kuwaita wakae pamoja kuongea kuhusu mustakabali wa nchi huko tuendako kaamua kuwadharau. Sasa itakuwa ni vita kati ya Serikali na makanisa labda makanisa yaamue kukaa kimya lakini na wao wameshaapa hawatanyamazishwa katika kukemea maovu na udhalimu vinavyokithiri nchini kila kukicha. Mwenyezi Mungu ainusuru nchi yetu.
Asantee matatizo[emoji28] [emoji28]Pole,sema mimi hainibambi sana kwakweli[emoji19][emoji19]
Ndio jiraniJirani ulimeza mwenyewe? Ulikumbuka maji? Pole jirani
Rest well Winnie[emoji120] View attachment 732489
Loooh haya mambo siyapendiiiiView attachment 732482
MazaAsantee matatizo[emoji28] [emoji28]
Kapuni au maza?
WachaaaDah!...Mwendelezo wa maneno ya Khanga mara baada ya kupandwa Demiss
Nimepita kuwachungulia....
Amen[emoji120] [emoji120]Amandla! Huyu mama alipendwa na wengi sana ndani na nje ya South Africa. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.