Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

c22c97f8-c9c8-462e-9bbe-757e692dcb67.jpg
 
Yeah! Very sad kinachosikitisha sana hata Viongozi wa dini badala ya kuwaita wakae pamoja kuongea kuhusu mustakabali wa nchi huko tuendako kaamua kuwadharau. Sasa itakuwa ni vita kati ya Serikali na makanisa labda makanisa yaamue kukaa kimya lakini na wao wameshaapa hawatanyamazishwa katika kukemea maovu na udhalimu vinavyokithiri nchini kila kukicha. Mwenyezi Mungu ainusuru nchi yetu.

Naona siku hizi mpango ni kukuua na kugharamia mazishi,so sad!!
 
Back
Top Bottom