mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahahaha mkuu ulitaka kuona niniSijui kwa nini kafunika mamiguu. Aaaaargh !!!
Hahahahaha mkuu ulitaka kuona niniSijui kwa nini kafunika mamiguu. Aaaaargh !!!
Balaaaa balaaaaaHizi khanga dah[emoji12] [emoji12]
DaimaAmani itawale
We naona umemaanisha "dawa" na si dawa lol!!Sina kitu Carba ila si dawa nyingine ziko hivyo MD au nimekosea? Dawa nyingine ukinywa kwa sekunde huponi ng'oooo LOL!
Album yake ya mwisho kabla hajafa(respect)inanibamba sana.
Apumzike kwa amani huko aliko
We naona umemaanisha "dawa" na si dawa lol!!
YaaniHumu kuna misemo mingi sana ya ajabu walahi
Kupambana na wewe siwezi,waweza nitoa KO bureKwa hiyo unataka tupambane? Kaone. Kamtu kenyewe naweza kukadabua kwa kidole kimoja tu.
Hatari sana [emoji30][emoji30][emoji30]
Pole,sema mimi hainibambi sana kwakweli[emoji19][emoji19]Sijaiangalia hata cate the witch[emoji28] [emoji28]
Nilikiwa naangalia kapuni
Kati ya mchana na usiku raha iko muda gani?
[emoji106][emoji106]Usiku mkuu ndio mambo yote
Nyanyaaaaa eti kweli una mwandiko mbaya?[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]Woiiii
Nyanya wako anamuandiko mbayaa[emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Unatumia kinywaji gani karibu ? MkuuMh! Usiku unabamba Mkuu, sijui kwa Wakuu wengine
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitarud baadae jaman ngoja nipikeee loooh aaaaghhView attachment 732484