Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mh! hili nalo ni neno! Amewahi kutia neno kuhusu miili inayookotwa ufukweni coco beach? amewahi kutia neno kuhusu kupotea kwa Ben Saanane? Amewahi kutia neno kuhusu kutekwa na kuteswa kwa Roma na wenzie? Amewahi kutia neno kuhusu kwanini Serikali haichunguzi shambulizi la Lissu kwa miezi minane sasa? Amewahi kutia neno kuhusu kwanini Lissu halipwi haki yake ya matibabu ambayo anastahili kama Mbunge!?

Je, ni kwa sababu zipi amekuwa kimya kuhusu haya? KULIKONI?

 

Jiwe walilolikataa waashi......
 
Pengine ni kwa sababu anafuata ile kanuni ya "waacheni wamalizane wao kwa wao"...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…