Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unafikiri ni kwa nini kafanya hivyo? Ukorofi? Ushamba? Kutoelewa kanuni za afya?
Hili suala la kuishi vyema na wasaidizi wetu wa ndani linatakiwa kuzingatiwa kwakweli..
Unavyomtreat vibaya makusudically, kumbuka nae ana nyama, nae huhisi maumivu kama wewe mwajiri wake unavyohisi maumivu pale unapotendewa kinyume na unavyostahili kutendewa..

Mwisho wa siku hivyo ndo visasi anavyoweza kulipiza kwamaana hawezi kukutenda kama ulivyokuwa ukimtenda.

Tena ni afadhari amalizie hasira zake kwenye hiyo misufuria, kuliko kufanya kitu kibaya zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…