Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baraza la Ardhi na Nyumba Wilaya ya Geita, limetoa amri ya kukamata na kuuza gari lenye namba T 961 DEZ, aina ya Toyota Land Cruiser V8 la Waziri wa Kilimo, Dkt. Charles Tizeba, ili kulipa gharama anazodaiwa na kaka yake aitwaye Adrian Tizeba.

Amri hiyo ilisainiwa na Mwenyekiti wa Baraza hilo A.M.Kapinga, Machi 9 mwaka huu ikiipatia kampuni ya Tisa Auction Mart and General Court Brokers mamlaka ya kukamata na kupiga mnada gari hilo, k
 
Wanafamilia hao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…