Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Kua na kiongozi mzalendo sio mbadala ya katiba mpyaaa"
Katiba hazijawahi kuheshimika barani Afrika, huwashangaa wanaolilia katiba. Juzi Kenya ilimteka na kumuhamishia ughaibuni raia wake ingawa kulikua na zuio la mahakama, Uganda walibadiri vifungu vya katiba kwa maslahi M7, Rwanda na Burundi pia walichezea katiba zao kwa faida ya walio madarakani.
 
Naona leo upo kwenye Uhenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…