Hapo umeongeza chumvi mkuu.Kijita, Kisukuma, Kikerewe, Kijaluo (siyo Kibantu), Kikurya, Kinyakyusa, Kinyamwezi, Kihaya...Kihispania, Kiingereza, Kifaransa....na zinginezo kibao zote unazifahamu tena kwa undani, wewe mtu wa aina gani mkuu?
Nawe kuna wakati huwa unaniudhigi. Si uende ukafundishwe ukajionee laivu ndo utuletee mrejesho? Uoga tu bila sababu tena poti wako kabisa kutiki mwachasugu waongela mmawakisi. Bahati hii ukiiachia utalia na kusaga meno huko mbele ya safari...Hii kitu imekuwa inanitafuna akili yangu. Kuna wakati huyu mtu mwandiko wake ni wa kiume kabisaaaaa! [emoji23][emoji23]
Nataka niongeze na sukari kabisa...We siyo mwenzetu wewe aisee....Hapo umeongeza chumvi mkuu.
Hahaha!!Hii kitu imekuwa inanitafuna akili yangu. Kuna wakati huyu mtu mwandiko wake ni wa kiume kabisaaaaa! [emoji23][emoji23]
Hahahaha!! O.R.SNataka niongeze na sukari kabisa...We siyo mwenzetu wewe aisee....
Nawe kuna wakati huwa unaniudhigi. Si uende ukafundishwe ukajionee laivu ndo utuletee mrejesho? Uoga tu bila sababu tena poti wako kabisa kutiki mwachasugu waongela mmawakisi. Bahati hii ukiiachia utalia na kusaga meno huko mbele ya safari...
Nilikuita msubhati, sio kwa kukusudia. Niliichanganya na tabhani.Hahaa, unataka nikang’olewe meno kwa plier wewe; Nimestuka! Kuna zile siku za mwanzo aliniita, msubhati! [emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], waongela mmaboxNawe kuna wakati huwa unaniudhigi. Si uende ukafundishwe ukajionee laivu ndo utuletee mrejesho? Uoga tu bila sababu tena poti wako kabisa kutiki mwachasugu waongela mmawakisi. Bahati hii ukiiachia utalia na kusaga meno huko mbele ya safari...
Tatizo hataki kuthubutu.Nawe kuna wakati huwa unaniudhigi. Si uende ukafundishwe ukajionee laivu ndo utuletee mrejesho? Uoga tu bila sababu tena poti wako kabisa kutiki mwachasugu waongela mmawakisi. Bahati hii ukiiachia utalia na kusaga meno huko mbele ya safari...
Msubhati maana yake nini? Bae ama?Nilikuita msubhati, sio kwa kukusudia. Niliichanganya na tabhani.
Yaani ananiudhi mpaka basi. Maua. Muziki laini wa Kihindi. Bado anazingua tu dah !!!Tatizo hataki kuthubutu.
Ukang'olewe meno umekosa nini? Nenda ukatetee heshima ya ukoo bana...Hahaa, unataka nikang’olewe meno kwa plier wewe; Nimestuka! Kuna zile siku za mwanzo aliniita, msubhati! [emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], ila weweUkang'olewe meno umekosa nini? Nenda ukatetee heshima ya ukoo bana...
Labda hajawahi mkuu, anaogopa.Yaani ananiudhi mpaka basi. Maua. Muziki laini wa Kihindi. Bado anazingua tu dah !!!
Kijita, Kisukuma, Kikerewe, Kijaluo (siyo Kibantu), Kikurya, Kinyakyusa, Kinyamwezi, Kihaya...Kihispania, Kiingereza, Kifaransa....na zinginezo kibao zote unazifahamu tena kwa undani, wewe mtu wa aina gani mkuu?
Inawezekana aisee. Yego umesikia? Kashfa/Sifa hiyo....Labda hajawahi mkuu, anaogopa.
Mpwa (mtoto wa dadake Yego).Msubhati maana yake nini? Bae ama?
Hata miye nahisi hivyo. Ndo maana Yego machale yamemcheza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usalama wa Taifa Mkuu
Uoga wake tu.Hata miye nahisi hivyo. Ndo maana Yego machale yamemcheza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]