Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hiyo ndo maneno sasa. Kesho usisahau kuleta mrejesho....Yego...pulizi donti leti me dauni....Hapa kweupe, ngoja twende chamber
Hiyo ndo maneno sasa. Kesho usisahau kuleta mrejesho....Yego...pulizi donti leti me dauni....Hapa kweupe, ngoja twende chamber
Hiyo ndo maneno sasa. Kesho usisahau kuleta mrejesho....Yego...pulizi donti leti me dauni....
Nao wi a tokingi [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]I will make you proud! [emoji123][emoji1][emoji1]
Hahahahaha, sawa mrembo. Uwe na ledadaKiongozi imekaa kiume [emoji23] [emoji125]
Yaweza changanywa na isichanganywe pia, jina linabaki palepaleIla nyie si mwachanganya na kunde zenyewe..Au?
Waaaapi? Hata Musoma sipajuiSijui kama ipo/haipo..Vipi weye wa kule kule??
Watu nao huingizwa chaka kimya kimya wakatulia tu, kumbuka OECENahisi utakuwepo, usingekuwepo sidhani kama watu wangeendelea kucheza.
Aliutelekeza uzi wake, huingia kivingine anagonga likes kisha anapotelea milimani huko Kinore Morogoro[emoji3] [emoji3]Hivi mwanzilishi wa huu uzi muheshimiwa sana Jembekillo alipotelea wapi
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahaaaaa. Siku zimeenda kwa kweli
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Wanasema ukiona ugomvi huko sababu kuu ni mbili tu: Msosi na malavidavi...
"Kila nafsi itaonja kifo" -Qur'anBado sijataka kuamini kama kweli uliondoka na Bongomove but R.I.P The Great
View attachment 733445
Hapa kweupe, ngoja twende chamber
Ukikubali kuwa mshenga itakuwa safi! Sharti ni kwamba ukacheck kwanza zari! [emoji1][emoji1]