Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

It was widely considered that Juventus won through against Spurs thanks to their greater experience in Europe. Having ceded much of the play and the possession to Tottenham, the Italians hit twice in quick succession to turn the tie around in London following a 2-2 draw in Turin.
But, if there is one team that cannot be intimidated in Europe, it is Real, and a wonderful overhead kick from Ronaldo after 64 minutes killed off Juve's hopes, leaving the Italian fans to applaud in the rain. Their team's hopes were shot down in an instant, but at least it was a beautiful way to go.
 
I'm like everyone, I'm the Real Madrid coach, but I love football, it's a natural gesture to take my hands in," Zidane said of his reaction to Ronaldo's second. "I'm very happy for what he did, he's a different player because he does this kind of thing. I'm happy for him, and we have to be happy to have him on our team."
For Ronaldo, who came into this match with 23 goals in his last 11 appearances, that was his 59th strike in the Champions League knockout stages. He cannot stop scoring in Europe and, after Paulo Dybala was sent off and Marcelo made it 3-0, this tie is now all but over.
 
PAMOJA na kufunga ndoa, mwigizaji Scarlet Gomez amefichua bado wanaume wakware wamekuwa wakimsumbua wakimtaka kimapenzi.

Hata hivyo, mwigizaji huyo ametamba hatishwi na usumbufu huo kutokana na jinsi mume wake alivyo muelewa.

“Mume wangu ni wa kipekee na kila kitu kiko sawa. Sidhani kama suala la usumbufu wa wanaume linawez kuisha. Pindi wanaponisumbua huwa nawaambia tu kuwa nimeolewa.

“Ni vigumu kwa tabia kama hiyo kukoma. Ingawa wanaume wengine ni wasumbufu kupitiliza, siko tayari kuwapa nafasi ya kuharibu ndoa yangu.”
 
KAMA angefuata ushauri wa wazazi wake pengine leo hii Tayo Odueke asingekuwa mwigizaji na umaarufu alionao angeusikia hewani.

Mwigizaji huyo amefichua familia yake haikufurahia yeye kujihusisha na uigizaji ingawa baadaye ilimruhusu kuendelee na fani hiyo.

“Nilipouwa mtoto, baba yangu alitaka niwe mtangazaji wakati mama yangu alipendelea niwe mwanasheria. Lakini mwisho wa siku nikabaki kuwa mwigizaji.

Wazazi wangu siku zote wanafahamu nina kipaji cha kuigiza ila baba yangu alikuwa hapendi niigize. Hata hivyo, baada ya kuona nimekuwa maarufu, kwa sasa anaona fahari,” alisema Odueke.
 
JEMINA Osunde amemtaja mwigizaji mwenzake, Adesua Etomi kama mfano wa kuigwa.

Mwanadada huyo amedai haoni tatizo kufananishwa na Etomi kutokana na anavyovutiwa naye.

“Sidhani kama kuna chochote kibaya. Kwanza kabisa yeye ni mama kwangu. Kila mtoto anatamani kuwa kama mzazi wake, hivyo namshukuru Mungu kwa kuwa karibu na Adesua,” alisema Etomi.

Etomi alisema Adesua pia amekuwa akifanya vizuri kwenye uigizaji na maisha yake binafsi jambo linalomfanya amtazame kama kioo chake.
 
Mfano. Viongozi wengi wana kiwango kikubwa kuridhika na maisha pamoja na ustawi wao ni mzuri. Wana malengo makubwa ambayo wamepanga japo ni wazee, lakini vijana wengi hawako hivyo. Viongozi wanaishi kama vijana wadogo wa miaka 25, ndani ya akili zao , japo wana miaka 80.
 
Turudi kwenye swali letu. Sifa zipi zinakuvutia wewe na zinakupa msukumo mkubwa katika maisha yako? Hapa kuna baadhi ya vitu vinavyowezekana, vyenye ujasiri, vyenye wema , ukamilifu, usawa. kwa sababu tunaishi katika nyakati ambazo tunashambuliwa na taarifa nyingi, na nyingine zinatufanya kuwa na usikivu, zinatuokoa , zipo vizuri, zinalenga jinsi gani ya kukabiliana na changamoto ambazo zinatulemea, hasa ukiwa kama kijana au kiongozi.
 
Turudi kwenye swali letu. Sifa zipi zinakuvutia wewe na zinakupa msukumo mkubwa katika maisha yako? Hapa kuna baadhi ya vitu vinavyowezekana, vyenye ujasiri, vyenye wema , ukamilifu, usawa. kwa sababu tunaishi katika nyakati ambazo tunashambuliwa na taarifa nyingi, na nyingine zinatufanya kuwa na usikivu, zinatuokoa , zipo vizuri, zinalenga jinsi gani ya kukabiliana na changamoto ambazo zinatulemea, hasa ukiwa kama kijana au kiongozi.
 
1.Heshimu maisha yako, undani wako.



Utaweza kuheshimu maisha yako kwa kuwa mtu wa kutumia muda vizuri. Hasa katika kutafakari, maombi, kupata utulivu wa kipekee hata kwa dakika chache kila siku. itakusaidia kukabiliana na changamoto nyingi .Lisha akili yako taarifa sahihi.
 
Back
Top Bottom