Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukiwa unajisikia kuchoka na kitu fulani. Kama kuanza kulaumu kwa nini hawajakutumia meseji, kama wazazi wako hawakuweza kubadilika bado wewe unaweza kufanya badiliko. kitu ambacho kitabadilisha Nchi yako. mfano kuimba au kumeditate, au lisha akili yako , soma kitu kila siku, sikiliza wasemaji maalum. Hii itakutoa kwenye hali ya Hisia mbaya iliokuingia. Fanya kitu cha kuzalisha
 
Nafasi zipo, Huenda kuondokana na hofu au maumivu au kupoteza nguvu ya kuthibiti kitu. hivi ndio vitu ambavyo vinasaidia kuepuka madhara makubwa ya hisia mbaya. Hiki ndicho kitu ambacho nilitaka kuandika leo usiku. Wow ni Akili kubwa, akili inayofikiri, Ni lazima kufahamu Kiini cha tatizo. Akili kubwa ina majibu wakati wote
 
Sihofii kwa sababu nimeweza kutatua hivi vitu leo, nimevivunja vunja. Ingawa vipo lakini havina nguvu ndani yangu. Kwenye akili yangu. Kabla sijajifunza nilikuwa naelewa kuwa mafanikio mazuri ni kuwa na Nyumba, Gari ya kifahari, nguo zenye majina, viatu vya majina makubwa.
 
Lakini mafanikio ni kuwa huru na mambo kama hayo. Ni kuelewa maisha. Mafanikio maana yake ni kuwezesha wengine. Kufanya kitu unachokipenda, kujua maana ya maisha ya kweli, mahusiano ya kweli. Kwa hio kulingana na maana hii mimi nina mafanikio. Siogopi kivuli.
 
HURT

Tunaingia kwenye hisia hii mbaya. Tunawachukia watu waliosababisha maumivu. hii yote inasababisha kujaza uchungu na kuzuia uponyaji. Jiulize sasa ni nani amekuumiza , na kama una hasira , maumivu yako yamekwisha au yanazidi? Lini utasamehe? Unaweza kulaumu mtu kumbe sio kusudio lake kukuumiza . ungeweza kutambua na kuelewa chanzo ingekusaidia.
 
Back
Top Bottom