Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Samehe na usonge mbele. Jiulize kuna haja gani ya kulaumu, kulakamika. Kwani ulijuaje kama kweli yatatokea kama ulivyotaka mwenyewe. Kama ukitambua hili itakuwa rahisi kwako kuachilia hata vitu vikubwa kiasi gani. hutakufa, watoto wako hawatakuacha, wazazi wako hawatakukataa, hutaweza kukosa ,ahali pa kulala. Utakuwa huru kwa sababu hauna mzigo mzito tena. Hutapoteza nguvu zako.