Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
2.Fanya zoezi la Kusimamisha hisia mbaya.
Acha kutazama taarifa mbaya, achana na mitandao kama haikuletei faida maishani mwako, achana na vikao mbalimbali vinavyokufanya ukose muda wa kufikiri ili kupata wazo jipya. Acha na tazama undani wako, moyo wako unakuambia nini.