Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaa
Kwa kweli pale nilishindwa mwenyewe.
Unaona kama ile stori ya Shunie
A man could read that!
Ila zile zengine aaah, ladiea wont even have respect for me if i ll be there [emoji23]
Ila sishangai kuna mtu walingana naye kipengele hiko.
Sema za lara nazipenda maana ako na jinsi ya kuelezea story hadi wapata picha ya tukio.
Entertaiment kule kuna moja yaitwa makaburi ya wasio na hatia kacheki na hiyo ila haijaisha hadi leo
 
Kwahiyo wagumu wanaanzia,35+??[emoji23][emoji23][emoji23]
Andjul baba njoo mara moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…