Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ila sishangai kuna mtu walingana naye kipengele hiko.
Sema za lara nazipenda maana ako na jinsi ya kuelezea story hadi wapata picha ya tukio.
Entertaiment kule kuna moja yaitwa makaburi ya wasio na hatia kacheki na hiyo ila haijaisha hadi leo
Hahaha
Sasa mimi ni simple leader zile mbwembwe za Lara zina nishinda
Akili chache
[emoji1]
 
Kwahiyo wagumu wanaanzia,35+??[emoji23][emoji23][emoji23]
Andjul baba njoo mara moja
Kinyume chake. Halafu kinyume chake...In other words Hakuna mgumu. Nobody dies a virgin. Life fu**ks us all...so the saying goes [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…