Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Najaribu kufuatilia sijaona kosa lake. Mods nao huwa hawatoi sababu wanakulima ban tu hata huelewi sababu ni nini. Ndo hivyo "jirani mpendwa" wa JT...Mtoto mpole kafanyaje tena?
Kasingiziwa ugomvi huyu!
5. Unapolia jicho hupata faida sana, kwanza hulipa wakati wa kujisafisha pili kusafirisha kwa urahisi oxgen, hivyo makwazo hayana budi kuja kwa afya za macho yetu.
Ukiwa hayo maeneo siku nyingine nishtue nikutume mahali...[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
5. Unapolia jicho hupata faida sana, kwanza hulipa wakati wa kujisafisha pili kusafirisha kwa urahisi oxgen, hivyo makwazo hayana budi kuja kwa afya za macho yetu.
Kuna wengine wanastahili kuchezea kichapo kwanza ndiyo ushauri unafuata baadaye. Huyu ni right candidate kabisa !!!
Popote alipo tunamsubiri kwa hamu shemeji yetu..Najaribu kufuatilia sijaona kosa lake. Mods nao huwa hawatoi sababu wanakulima ban tu hata huelewi sababu ni nini. Ndo hivyo "jirani mpendwa" wa JT...
Haha hk kidokezo nmekipenda mkuu5. Unapolia jicho hupata faida sana, kwanza hulipa wakati wa kujisafisha pili kusafirisha kwa urahisi oxgen, hivyo makwazo hayana budi kuja kwa afya za macho yetu.
usiombe likikatita makirikiri hutocheki popote chini ya kiwiliwiHabari nyingine hii mkuu,,,
Ukiumwa na nyoka mara moja inabidi ushtuke, siyo ndo kwanza unamshika - tena mkiani. Inabidi wababadili mbinu za kudili na huyu jamaa.Hahahaha
Mungu ni mwema [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Clara B. Williams college professors did not allow her inside the classroom because she was Black. But that didn’t stop her. She took notes from the hallway–standing up! She eventually graduated at the age of 51 and lived to 108 years old and saw her 3 sons become doctors.View attachment 734548
HaswaKuna wengine wanastahili kuchezea kichapo kwanza ndiyo ushauri unafuata baadaye. Huyu ni right candidate kabisa !!!
Nalia sasa hivi haki ya nani....5. Unapolia jicho hupata faida sana, kwanza hulipa wakati wa kujisafisha pili kusafirisha kwa urahisi oxgen, hivyo makwazo hayana budi kuja kwa afya za macho yetu.