6. Limebeba machozi ya aina mbili, yale yanayokutoka pindi unapolia, na mengine ni ya ulinzi kutoa wadudu ambayo huwa kwa mfumo wa acidi, kama utamtizama mtu jichoni utamuona kama analengwa na mchozi hivi.
Hahahahaa! Haina shaka kabisa.Ukiwa hayo maeneo siku nyingine nishtue nikutume mahali...[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
wamlilia baby kitooNalia sasa hivi haki ya nani....
Hahah zigo la kuvunja chagausiombe likikatita makirikiri hutocheki popote chini ya kiwiliwi
7. Ubongo wako ukipata madhara na lenyewe huweza kupata madhara, kwa mfano ukipigwa kichwani pasina kuligusa lenyewe inaweza ikapelekea upofu.
Sahihisho. Sema "shemeji yetu"....Jirani bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Popote alipo tunamsubiri kwa hamu shemeji yetu..
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Naona
wamlilia baby kitoo
8. Kisukari, presha ni miongoni mwa magonjwa yanatoshia sana usalama wa jicho.
Nakulilia wewe rolo modo wangu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona
wamlilia baby kitoo
Ngapi ngapi?Liverpool raha sana
Tulikuwa na wasiwasi nawe mkuu. Wengine walisema eti utazidiwa na furaha uruke kutoka dirishani utumbukie baharini huko Peninsula...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]This is Liverpool
Amazing woman!Mungu ni mwema [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]