Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Amen [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]

...and when you die, you will be transported back as cargo to the same parents whom you have ignored for years.

Ukute aliye toka kwenye hayo makazi ndo yule uliye mwelekeza aje kwangu

Sijui tunakosea wapi hadi tunawasahau wazazi wetu kiasi hiki.Kwa kijijini gharama ya nyumba ya bati juu vyumba vitatu,sebule na choo hata milioni saba(matofari mabichi,mbao sio gharama,haihitaji kufunika dari wala vioo madirishaji) haishi.
 
Hiyo picha imenigusa sana aisee! Imenisononesha.
Na kuna watu wako mjini wanakula bata lakini ukifika kwao hali ndo hivi. Wamesahau kabisa home. Le Mbururaz alikumbwa na kashfa ya aina hii mamake alipofariki. MD mmoja pia Bugando pale alifariki wakamleta home kumzika watu hawakuamini. Mungu Atusaidie tuwasaidie wazazi wetu wangalipo hapa duniani kwa sababu when they are gone they are gone mtu unabakia na majuto !!!
 
Ni kujisahau tu wala hakuna kisingizio ndugu yangu...

Huyo niliyemtuma aje kwako tunaweza kumsamehe tu kwa kweli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…