Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu hakuna mianya iliyozibwa. Unatoaje zaidi ya trillions mbili hazina bila idhini ya Bunge halafu useme nimeziba mianya? Unadharau vipi maamuzi ya mahakama kuhusu bomoa bomoa nchini kasha ukajiita wewe ni Rais wa Wanyonge? Unajenga vipi airport chato kwa shilingi 350 billion ambazo Bunge halijaidhinisha zilizoidhinishwa ni bilioni 2 tu? Unatumiaje zaidi ta trillion 1 ($485 million) ambazo Bunge halikuidhinisha kununua ndege na pia kukiuka taratibu za manunuzi Serikalini?

Maaskofu wanasema nchi inakoelekea siko, unaanzaje kuwadharau Viongozi wa dini nchini huku ukikiuka haki ya raia, haki ya Wabunge, uhuru wa vombo vya habari nchini etc?

Sijaona zuri lolote kutoka kwa huyu dhalimu muuaji. He is a huge disgrace to our beloved country. IMO 3 years are sufficient enough to judge whether you have someone who is fit/unfit to lead the country. We don't need 10 years to be able to do so.

Mhhh,
Mkuu punguza munkari na ukali wa maneno..!
Najua kuna mambo Raisi anakosea na anawakera Watanzania wengi sana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…