Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kawaulize familia ya Lissu, Ben Saanane, Ndugu wa marehemu ambao miili yao iliokotwa Coco beach, Abdul Nondo, Roma na wenzie waliotekwa na kuteswa. Watanzania chungu nzima ambao nyumba zao zilivunjwa katika bomoa bomoa huku wakiwa na hukumu ya mahakama kuzuia ubomoaji ule uone kama hawakubali nami kwamba hii ni Serikali dhalimu. Siku zote mkuki kwa nguruwe Mkuu Malcolm lakini kwa binadamu mwenye roho ndiyo mchungu. Wakati mwingine tujaribu sana kuvaa viatu vya hawa wenzetu ambao wamekutana na udhalimu wa kutisha tangu 2015 hadi sasa.




Mkuu nakubaliana kabisa na wewe kwamba Raisi Magufuli kuna vitu anakosea sana,
Kalui zake na baadhi ya matendo yake siyo mazuri japo nadhani siyo vema sana kumuita muuaji.
 
Kweli Mkuu
 
So sad
 
Inasemekana baadhi ya matukio haya mna-orchestrate wenyewe....
 
Tia akili kichwani you’re the one who need help kwa kukosa huruma na utu kwa binadamu wenzio. Kwa sababu tu huyu ni Mkoromije mwenzio basi unafumbia macho maovu yake yote.

Utakuwa na utaahira wewe si bure. Haya yangekukuta wewe usingefanya huu upuuzi wako wa kutetea huyo dhalimu muuaji.

Nyerere alipoua mjomba wako kosa, lakini wengine kuuawa unapiga kimya kutetea muuaji.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…