Hauchelewi kunitoa baruu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nilijua tu
Hahaahhaa ubabu waaaapiiiHauchelewi kunitoa baruu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ubabu sikuupenda,ni vile tu nilizaliwa mapema,halafu siamini kama nimezeeka.
[emoji134] [emoji134] Chinekeee!!!Hadi mwezi wa tano
Analishwa vizuriUna maanisha atakuwa anakula vizuri.
Au atakuwa analishwa vizuri??
Aisee!! Aue watu watatu? Kwa kosa gani hilo ambalo hata Mungu hawezi kulisamehe? Sisi binadamu ni wa ajabu kabisa,kama muuaji ni mwanaume si ajabu chanzo kikawa ni mapenzi...Hii habar ni ya jamaa mmoja aliua mtu na mdogo ake na mtoto wa miezi ilikuwepo hadi kwenye gazeti la mwananchi na uwazi too sad