Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unauliza majibu kwenye mtihani usio na maswali?[emoji23][emoji23][emoji23]
Yegooo,hiki chama umebaki pekeyako mzee baba

Basi acha mi niwe kapteni wa hii meli, niko tayari kutuma ujumbe wa SOS ili abiria waje kuokolewa! Mimi nazama na meli yangu! Leti mi bi the Masta ofu mai ouni destini! [emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…