Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

6. Eagles prepare for training

The female and male eagle identifies a place very high on a cliff where no predators can reach to lay eggs.
The male picks thorns and lays them on the crevice of the cliff, then collects twigs which he lays in the intended nest.
Again he picks thorns and lays them on top of the twigs. He then picks soft grass to cover the thorns, and then files to pick up rugs to put on the grass. When this first layering is complete the male eagle then plucks his feathers to complete the nest.
The thorns on the outside of the nest protect it from possible intruders.
Both male and female eagles participate in raising the eagle family. She lays the eggs and protects them; he builds the nest and hunts.

Principle:
The preparation of the nest teaches us to prepare for changes;
The preparation for the family teaches us that active participation of both partners leads to success;
Being pricked by the thorns tells us that sometimes being too comfortable where we are may result in our not experiencing life, not progressing, and not learning at all.
The thorns of life come to teach us that we need to grow, get out of the nest, and move on. We may not know it, but the seemingly comfortable and safe haven may have thorns;
The people who love us do not let us languish in sloth but push us hard to grow and prosper. Even in their seemingly bad actions they have good intentions for us.
 
7. Shed Habits of No Value

When the Eagle grows old, his feathers become weak and cannot take him as fast as he should. When he feels weak and about to die, he retires to a place far away in the rocks. While there, he plucks out every feather on his body until he is completely bare. He stays in this hiding place until he has grown new feathers, then he can come out.
Principle: We occasionally need to shed off old habits, things that burden us, or add no value to our lives.
 
KIUNGO wa Barcelona, Ivan Rakitic ameripotiwa anamtaka ubaya mchezaji mwenzake kwenye kikosi hicho, Lionel Messi baada ya kuamua kulisifia bao la Cristiano Ronaldo alilofunga dhidi ya Juventus Jumanne iliyopita.

Supastaa wa Real Madrid, Ronaldo alifunga bonge la bao kwa staili ya kunyonga baiskeli hewani kama wanavyoita, katika mechi ambayo Los Blancos waliibuka na ushindi mnono ugenini katika mechi yao ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya robo fainali.
 
Mashabiki waliokuwa uwanjani hapo huko Turin bila ya kujali ni wa Real Madrid au wa Juventus wote walilishangilia bao hilo la Ronaldo. Lakini, ishu haikuwa kubwa sana baada ya kusikia kuna mchezaji wa Barcelona ameamua kumsifu Ronaldo, mchezaji ambaye kimsingi ungetarajia hata jina lake lisingeweza kutajwa kwenye korido za Nou Camp.
 
Hata hivyo, staa wa kimataifa wa Croatia, Rakitic hakuona kuna uzito wowote wa kutoa pongezi kwa Ronaldo kutokana na bao lake hilo zuri na Real Madrid iliibuka na ushindi wa mabao 3-0.

Baada ya kushuhudia timu yake ya Barcelona ikiibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya AS Roma katika mechi yake ya kwanza ya robo fainali ya mikikimikiki hiyo ya Ulaya, Rakitic alisema: “Tunampongeza Ronaldo kwa bao lake, lilikuwa zuri.

“Ni ngumu kupata maneno halisi ya kulielezea bao hilo. Real Madrid ilitawala mchezo wote na ilicheza vizuri sana, tunawapongeza pia.”
 
JUVENTUS imeshtuka kikosi chake kinahitaji kufanyiwa mabadiliko na hivyo kuanza kupanga mipango ya kuwanasa nyota wa kibabe katika dirisha lijalo la usajili.

Katika kutimiza mpango wake, Juventus imepanga kuvamia windo la Barcelona na kuiwania huduma ya supastaa wa Atletico Madrid, Antoine Griezmann.
 
Staa huyo wa Kifaransa anatarajia kuihama Atletico mwishoni mwa msimu huu huku Barcelona ikiripotiwa imekubali kulipa Euro 100 milioni ili kupata saini yake kama kipengele kinavyoeleza kwenye mkataba wa mchezaji huyo.

Taarifa zaidi zimekuwa zikidai Barcelona imeamua kuiweka wazi jezi namba 7 kwa ajili ya Griezmann kwenda kuivaa kuanzia msimu ujao.
 
Lakini, taarifa za Tuttosport zinadai Juventus nayo ipo tayari kupeleka ofa yake ya Euro 100 milioni huko Atletico ili kumchukua mchezaji huyo akaiongezee makali kwenye safu yake ya ushambuliaji.

Juventus inajiandaa kumpoteza Mario Mandzukic na pengine Paulo Dybala kwenye dirisha lijalo la usajili wa majira ya joto, hivyo inamtazama Griezmann kama mtu sahihi wa kuja kuziba pengo.
 
HIVI umeisikia hii? Ndiyo hivyo bana, Manchester United imeamua kuanzisha ugomvi wa makusudi na wapinzani wao wa jadi Liverpool kabla ya dirisha la usajili wa majira ya kiangazi halijafunguliwa.

Ishu yenyewe ipo hivi, wababe hao wa Old Trafford wameripotiwa kumtazama supastaa wa Liverpool, Mohamed Salah ndiye mchezaji anayefaa kabisa kwenda kucheza kwenye timu yao msimu ujao na hivyo wanamfungia kazi ili kupata huduma yake mwishoni mwa msimu huu.
 
Kwa kawaida noleji popote inapatikana na kuuliza si ujinga
SWALI LA JIONI JE
KUNA TOFAUTI YA RADHA KATI YA TENDO LA NDOA NA NGONO
wako katika kupata noleji
MUGUMU COLE WILLIAMS.
Tendo la ndoa-Ni kitendo cha mume na mke kujamiiana/kufanya mapenzi. Lengo likiwa aidha kukongana nafsi /kutafuta mtoto.

Tendo la ngono- Ni kitendo cha mwanamke na mwanaume kujamiiana/kufanya mapenzi. Pia lengo likiwa kukongana nafsi/ Kutafuta mtoto.

Hakuna utofauti wa ladha kati ya tendo la ndoa VS tendo la ngono.
Ila utofauti wa ladha huwa baina ya wakonganaji.
[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom