Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Salah ametua Liverpool mwaka jana tu, lakini staa huyo wa kimataifa wa Misri ameonyesha kiwango bora kabisa huko Anfield na kufunga mabao kibao kwa msimu huu. Salah amefunga zaidi ya mabao 37 katika mechi 42 alizocheza msimu huu katika michuano tofauti akiwa na jezi za Liverpool.
 
Liverpool imeshaweka wazi haiwezi kusikiliza ofa yoyote ile kuhusu mchezaji wake huyo, lakini hilo haliifanyi Man United kushi ndwa kabisa kurusha ndo ano yao.

Ripoti za ndani zinadai Man United imepanga kupeleka ofa ya Pauni 175 milioni kama dau lake la kuanzia katika kuinasa huduma ya Salah na kwa mkwanja huo inaamini, Liverpool italegeza kamba na kukubali kufanya biashara.
 
HISTORIA imewekwa Uwanja wa Anfield juzi Jumanne usiku na wachezaji wa Liverpool waliichakaza Manchester City huku mwisho wa mechi kiwango chao kikiashiria kuwaziba midomo mashabiki ambao walikuwa hawawaamini kabla ya mechi hiyo. Ni kama vile walikuwa wanauliza, kuna maswali?
 
Sifa ziende kwa Liverpool kwa sababu uwanjani walijaa mashujaa watupu. Hii siyo City ambayo tumezoea kuiona msimu huu. Walicheza tofauti na vile ambavyo tumewazoea. Inabidi ufanye kazi chafu na hawakuweza kukabiliana na Liverpool katika kipindi cha kwanza,” alisema Lampard.
 
Naye Ferdinand ambaye ni staa wa zamani wa Manchester United na Timu ya Taifa ya England alidai kila kitu kilikwenda sawa kwa wenyeji.

“Inabidi uwape sifa zote Liverpool. Walikwenda kupambana na walikuwa na mpango mzuri wa mechi. Kufanya walichofanya inabidi muwe wepesi, wachezaji wenye akili, nguvu na maarifa. Liverpool walifanya hivyo,” alisema Ferdinand
 
Back
Top Bottom