Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Happy Friday!
30078569_384442745368867_7334227240030306304_n.jpg
I ’d like to dive into the weekend just like this
 
Ugonjwa wa Baridi Yabisi ni Nini?

Ugonjwa wa baridi yabisi ni ugonjwa ambao unaathiri membreni ya sinovio na tishu inayozunguka vifundo (jointi); tishu hizo huwa nene, huganda kwenye kifundo na huharibu na kulemaza kifundo husika. Ukiachwa bila kutibiwa, ugonjwa huu unaweza kuharibu vifundo vibaya kiasi kwamba havitafanya kazi tena. Ugonjwa huu unapatikana mara nyingi kwa wanawake wanaoanza kuwa watu wazima hadi wenye umri wa kati. Ili kutambua ugonjwa huu, daktari wako atakuchunguza, atachukua picha ya X-ray na vipimo vya damu vinaweza pia vikahitajika.
 
Dalili:

Ugonjwa wa baridi yabisi unaweza ukaathiri vifundo (jointi) vingi. Lakini watu wanaelekea kuupata zaidi katika vidole na vifundo kati ya mkono wa mbele na kiganja. Viwiko, magoti na tindi za miguu ni sehemu ambazo huathiriwa pia na ugonjwa huu. Mara nyingi ugonjwa huu huathiri vifundo vilevile pande zote za mwili. Dalili zinaweza kuwa ni:
 
Vifundo kuvimba na kuuma. Vinaweza kuonekana vyekundu na kuwa na joto.

2. Vifundo kukakamaa. Vipindi virefu vya kupumzika au kukitumia kifundo kwa muda mrefu au kwa nguvu sana kunaweza kusababisha kukakamaa.

3. Vifundo ambavyo vimepoteza sura yake ya kawaida na hali yake ya kujongea.

4. Kujisikia kuchoka wakati wote.
 
Kurekebisha Mtindo Wako wa Maisha

Ugonjwa wa baridi yabisi ni tatizo ambalo linaendelea. Lakini sio lazima likufanye usijishughulishe. Unaweza kusaidia kuutawala kwa njia ya mazoezi na mtindo wa maisha yenye afya. Uwe na bidii kuwaona madaktari wako kama unavyotakiwa kwa ajili ya uchunguzi na kazi ya maabara. Wakati Fulani daktari wako anaweza kukupeleka kwa daktari bingwa wa magonjwa ya athritisi na mengine yanayohusiana.
 
Back
Top Bottom