Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vyanzo vya Msaada

Usiogope kutafuta msaada. Kama una hofu/mashaka kuhusu afya yako zungumza na mhudumu wako wa afya. Pia zungumza na watu wengine ambao wana ugonjwa wa athritisi ya kirumatoidi. Wanajua hali unayopitia. Labda wanaweza kukupatia ufahamu mpya na njia mpya za kusaidia kupambana na hali hiyo.9
 
Ugonjwa wa baridi yabisi ni tatizo linalojulikana na ambalo huathiri ubora wa maisha wa takribani theluthi moja ya wanaume na wanawake . Mungu ametuahidi kwamba “…………watapata nguvu mpya. Watapanda juu kwa mbawa kama tai, watapiga mbio wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu wala hawatazimia.” (Isa 40:31). Mungu akusaidie kuishi maisha ya afya na mtindo wa maisha wenye uwiano sawa, na uepuke kukakamaa kwa viungo na maumivu.
 
1522867739897.jpg
 
Back
Top Bottom