Kama mimi nadhani nalala masaa yakiwa mengi ma3 au 4 tuu.
Ni shda
Huhuhuhu nataka ni vile tu mawazo sijui waiiiHahahahaha ledada hutaki kuendelea kukua? Usingizi wa kutosha muhimu at least 8 hours. Ila distractions nyingi sana hivyo kutufanya wengi kutolala kwa masaa hayo manane.
Tulale salama wakuu
Ngoja niwaachie ukumbi
Ni vizuriHapana mi siwezi kumpoteza mtu bila maelezo, at least i should kno why!
Huwa napenda tuwekane sawa kabla kila mtu haja endelea na hamsini zake.
Sleep wellTulale salama wakuu
Ngoja niwaachie ukumbi
Na mostly wanakuwaga hawana majibuNi vizuri
Ila kuna wengine hata uulize hujibiwi au akijibu haelezi sababu ni nini
You tooSleep well
Salama moud za kwakoHabari zenu watu wa mungu
UKIJIZOEZA TABIA HIZI KUMI, NI NGUMU SANA KUZIACHA
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kaaazi kweli6.Kutawaliwa na mitandao ya kijamii.
Safi, asee hujalalaSalama moud za kwako
Ndo najiandaa hapa nilaleSafi, asee hujalala
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]KIDUMU CHAMA CHA WAGUMU
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahaha,[emoji3] [emoji3] [emoji3] kuna watu wanadhani tumepanda Appolo tunaelekea Mars[emoji3] [emoji3]Tutachelewa kufika wakati hakuna tunapokwenda??
Siku hizi dhana hiyo haikubaliki. Waweza jikuta maabara unapimwa mkojo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahahahaha!
Ukishakuwa kiongozi wa watu, tegemea kukosolewa, kubali changamoto..Changamoto hujenga.
Na sio kila ulisemalo lifuatwe, hata kama lina walakini, kuhoji ni haki kabisa.