Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

hahahahahahahah lol! Ni aje Mkuu naona unataka kuweka ndani wanne kwa mpigo lol! Sawa nitajitahidi kufanya hivyo kwanza niwajue mashemeji zangu wote kisha kujenga ukaribu na mashemeji wote humu.

Naam mkuu niko salama salimini namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunijalia pumzi hadi muda huu.

Shemu zako wapo wengi sana humu jamvini, kila utakapowaona uwe unawasabahi ili kuimarisha ushemeji zaidi.

Si unajua tena hakunaga ushemeji ila sharing kwa kwenda mbele
 
Naam Mkuu name siku hizi naelewa hilo lakini kabla nilikuwa naona nyayo ni nyayo tu mwisho wa kiwili wili, sikuhisi kabisa kama zinaweza kuwa na uhusiano mkubwa sana na internal organs.

Mkuu hiyo in sehem ambayo inatumiwa sana na madokta kwa wenzetu kutambua tatizo linalomsumbua mgonjwa. Kwasababu kwenye nyayo ndiko kuna mawasiliano na sehemu zote za mwili.
 
hahahahahahahah lol! Ni aje Mkuu naona unataka kuweka ndani wanne kwa mpigo lol! Sawa nitajitahidi kufanya hivyo kwanza niwajue mashemeji zangu wote kisha kujenga ukaribu na mashemeji wote humu.
Sasa nijisumbue nini mkuu wakati nina option ya kumiliki chopa hadi 4 kadri ya uwezo wangu.

Mambo ya kuja kuanza kuulizana mbona unawahi bafuni hata bado sijakuvua viatu sitaki kabisa.
 
Naam Mkuu unaoiga zoezi la nguvu kama vile kuna mechi ya Simba na Yanga ili kiuno kiwe madhubuti kwa masafa marefu na moyo pia uweze kustahimili safari ndefu. Mambo kama yale ya Kuku yanawafaa Kuku tu.

Hahahaahaaaa
Kweli mkuu, maana mpambano lazima uende dk 90, kwahiyo lazima uwe fit kweli kweli
 
Your future is very bright Bro, please keep up your efforts and positive attitude.


30076524_231286767420104_627789025989623808_n.jpg
 
Back
Top Bottom