Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Niko Bomba Mkuu namshukuru Mwenyezi Mungu. Vipi weye Mkuu? Kumbe shem wangu yumo humo? Jana nimemuona kwenye uzi mmoja nikahisi ndiye yeye kutokana na mwandiko wake ila sikuwa na uhakika wa 110%
Naam mkuu niko salama salimini namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunijalia pumzi hadi muda huu.

Shemu zako wapo wengi sana humu jamvini, kila utakapowaona uwe unawasabahi ili kuimarisha ushemeji zaidi.

Si unajua tena hakunaga ushemeji ila sharing kwa kwenda mbele
 
Back
Top Bottom