Mkuu hiyo in sehem ambayo inatumiwa sana na madokta kwa wenzetu kutambua tatizo linalomsumbua mgonjwa. Kwasababu kwenye nyayo ndiko kuna mawasiliano na sehemu zote za mwili.Niliposikia mara ya kwanza nilishangaa sana. Huwezi kujua kama nyayo za miguu zina uhusiano mkubwa na internal organs.
Naona mnanyumbua mambo.Mkuu hiyo in sehem ambayo inatumiwa sana na madokta kwa wenzetu kutambua tatizo linalomsumbua mgonjwa. Kwasababu kwenye nyayo ndiko kuna mawasiliano na sehemu zote za mwili.
Naam mkuu niko salama salimini namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunijalia pumzi hadi muda huu.
Shemu zako wapo wengi sana humu jamvini, kila utakapowaona uwe unawasabahi ili kuimarisha ushemeji zaidi.
Si unajua tena hakunaga ushemeji ila sharing kwa kwenda mbele
Hahahaahaaaahahahahahaha lol! Habari ndiyo hiyo Mkuu watu wamekuwa creative kwenye majambo kama hauko fit unaweza kuvunja kiuno au kiungo muhimu sana mwilini.
Kawaida tu Mkuu.Naona mnanyumbua mambo.
Safi sana
Mkuu hiyo in sehem ambayo inatumiwa sana na madokta kwa wenzetu kutambua tatizo linalomsumbua mgonjwa. Kwasababu kwenye nyayo ndiko kuna mawasiliano na sehemu zote za mwili.
Sasa nijisumbue nini mkuu wakati nina option ya kumiliki chopa hadi 4 kadri ya uwezo wangu.hahahahahahahah lol! Ni aje Mkuu naona unataka kuweka ndani wanne kwa mpigo lol! Sawa nitajitahidi kufanya hivyo kwanza niwajue mashemeji zangu wote kisha kujenga ukaribu na mashemeji wote humu.
Hahahaahaaaa
Kweli mkuu, maana mpambano lazima uende dk 90, kwahiyo lazima uwe fit kweli kweli
Good.Naam Mkuu name siku hizi naelewa hilo lakini kabla nilikuwa naona nyayo ni nyayo tu mwisho wa kiwili wili, sikuhisi kabisa kama zinaweza kuwa na uhusiano mkubwa sana na internal organs.
Sasa nijisumbue nini mkuu wakati nina option ya kumiliki chopa hadi 4 kadri ya uwezo wangu.
Mambo ya kuja kuanza kuulizana mbona unawahi bafuni hata bado sijakuvua viatu sitaki kabisa.
Siku zote huwezi kushinda vita kama hujajiandaa na hauko madhubuti pamoja na nyenzo zote zinazohitajikaNaam Mkuu unaoiga zoezi la nguvu kama vile kuna mechi ya Simba na Yanga ili kiuno kiwe madhubuti kwa masafa marefu na moyo pia uweze kustahimili safari ndefu. Mambo kama yale ya Kuku yanawafaa Kuku tu.
Siku zote huwezi kushinda vita kama hujajiandaa na hauko madhubuti pamoja na nyenzo zote zinazohitajika
Mara moja moja sanaUna kawaida ya kulala mchana?