Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Weye kama mimi usingizi wa mchana umenishinda kabisa, ila siku moja nilijirusha hadi saa mbili asubuhi. Nikaingia kitandani saa mbili na ushee. Kuja kustuka nikasema ngoja niwahi supu sehemu sehemu halafu nirudi kuja kuuchapa, Kuangalia saa ni saa 10 jioni sikuamini kabisa macho yangu. Mie kwa hesabu zangu ilibidi iwe saa tano asubuhi sana sana saa sita mchana. Sijawahi tena kujirusha mpaka mbili asubuhi 11 au 12 lazima nikapumzishe mbavu.

Mara moja moja sana
 
CC. Multiple Myeloma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…