Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakati wanyama wengine wakitumia muda mwingi kulala, pengine twinga ndio kiumbe pekee ambaye hulala muda mfupi kuliko viumbe wengine wote yeye hutumia masaa mawili tuu na kama ana mtoto ndio yatakuwa pungufu ya hapo katika masaa 24 yaani siku.
 
Shingo yake ndio sehemu inayomsisimua kimahaba, hivyo siku na mkwe wako mkawa mnawatizama ukiona wameanza kugusana gusana shingo, kuzifunga pamoja mwambie dereva haraka akupeleke upande wa tembo maana ndio majilani zake wakubwa.
11. Twiga jike ni muaminifu sana kwa dume lake, na ili lisimuache mda wake wa ziada hutumia kulishawishi dume limpande, jike hutafuta dume jingine endapo dume wake atakamatwa na mamba au chui au kufa kwa ugonjwa na kama atakosa anaweza kufa kwa upweke, hivyo watu wa hifadhi hufanya juu chini kumuunganishia na madume ambayo nayo yana upweke, inaposhindikana baadhi ya nchi huwatoa polini na kuwaweka chini ya uangalizi maalumu.
12. Wakati jike akiwa na sifa hizo dume halinaga stress za mapenzi, hata jike wake afe, kwanza hupendelea sana dogodogo na ni jeuri linaweza mpanda jike mdogo mpyaa mbele ya mzee mwenzie.
13. Binadamu anaweza pita katikati ya miguu ya twiga kijana pasina kugusa mwili wake, na bado ikabakia nafasi kubwa tuu juu.
14. Wanyama wanaowinda kama mnyama wanayemtafuta yupo Jilani na twiga huamua kubadili upepo maana huwa anawaharibia sana dili zao, labda mnyama huyu wamzingire na asiwe na mbio sana.
15. Ni mnyama ambaye si mvivu na ana madaha pindi atembeapo.
******************UKIKUTANA NAYE*************
Mnyama huyu pamoja kwamba ni mpenzi wa amani, lakini usije msogelea Jilani yake sana maana akikuhisi vibaya hatokuuliza ni teke tuu, na mbuga yote kwa mateke yeye ndio anaongoza, hapendi Shari, kelele za ajabu ajabu, kushituliwa nk.
Hivyo umuonapo vigezo na masharti zingatia vinginevyo ni teke tuu hahahaha
 
Hata mimi naendelea vyema. Shemeji Carba hajambo? Mgumu Cole je? Kanafunzi ketu katukutu kaYego? Na mwalimu wa kenyewe je?

Leo naona umebadili kauli badala ya misambwanda imekuwa sura. Umeachia uenyekiti wa CHAWAMITA ama? Vere konfyuzingi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha mkuu habari za Jumapili
 
Back
Top Bottom