[emoji3] [emoji3] [emoji3]daaahh kumbe ndio uko msweet kiasi hicho ....naomba nikupende tafadhali
Hahaha aiseeHuyu hata akizidisha chumvi inabidi ujikaze ule tu ili usimuudhi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha duh[emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 738258
Kuna hii sugu haisikii antibiotic yo yote. Nyeti zinadondoka unaziona hivi hivi laivu...Gonorrhea ni mdudu mjanja sana, kila tunapozindua aina fulani ya tiba kuitibu, mdudu anazidi kuongeza nguvu za kuishinda tiba hiyo,” BBC inamkariri Dk. Teodora Wi.
Hatari kabisaKuna hii sugu haisikii antibiotic yo yote. Nyeti zinadondoka unaziona hivi hivi laivu...