Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hayo maji unayo unigawie kidogo nijinyunyize??? Sio kwa hasira hizi nilizonazo.[emoji41][emoji41][emoji41]

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Uwiiiii. Ugumu wangu unachekechwa na kupimwa.... [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Mmeniacha napambana peke yangu mpaka nakaribia kuelemewa bana....Afadhali umekuja. Nawe pambana sasa !!!

Slogan yetu sisi WAGUMU inasema, “Pambana mpaka mwisho” ili kuwafamisha wasio WAGUMU kutuelewa! Hata kama konokono akitambaa mguuni mwako, unampiga teke tu wewe unaendelea na yako! [emoji1]
 
Back
Top Bottom