carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Nakazia hapo kwenye chepechepe[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakazia hapo kwenye chepechepe[emoji23][emoji23][emoji23]
CHACHAWA na CHAWAPUTA ni vyama pinzani kimantiki na kimsimamo japo kwa nje vinaweza kuonekana kuwa vinakamilishana.Cc:mwenyekiti chawawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uwiiiii. Ugumu wangu unachekechwa na kupimwa.... [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Nina Kaupare Pare damuni. Ngoja nikakemee kabisa uwiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe UGUMU huuwezi aisee, duu! Wataka kula ugali kwa picha ya samaki? [emoji134]♂️[emoji134]♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo sijui kuna nini humu. Hakuna mlokole WA KWELI akemee?
Hasa kama kalengwaji ni kakimbau mbau. Ni kutobozesha tu mtelezo pfyuuuuuuuuu shaaabashiiii...imoooooo [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na anarenga kweli habahatishi
WeeeeSlogan yetu sisi WAGUMU inasema, “Pambana mpaka mwisho” ili kuwafamisha wasio WAGUMU kutuelewa! Hata kama konokono akitambaa mguuni mwako, unampiga teke tu wewe unaendelea na yako! [emoji1]
Duh!!Hasa kama kalengwaji ni kakimbau mbau. Ni kutobozesha tu mtelezo pfyuuuuuuuuu shaaabashiiii...imoooooo [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Afadhali kwa kuwa mkweli mkuu. Hiki chama si cha lelemama aisee...Hapana staki kua member nlitaka kujua maana ili nione kama nafit hapo. Asante
Za kujiramba[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Jizazi...Unajua hapa nilipo navuta fikra ohooo !!! [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Naleta gesi nyingine tuzime moto[emoji38][emoji38]Huhuhuhu kuna moto tena wa gesi
Nipo mimi hapa wacha nikemee
Akija hapa ndiyo hali ya hewa itazidi kuchafuka kabisa. Saksafoni lake likianza kuvuta hewa akili yote inaevaporeti na kitakachomtoka mdomoni sasa usiombe....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda tumuite mwakaleli aje akemee