Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Slogan yetu sisi WAGUMU inasema, “Pambana mpaka mwisho” ili kuwafamisha wasio WAGUMU kutuelewa! Hata kama konokono akitambaa mguuni mwako, unampiga teke tu wewe unaendelea na yako! [emoji1]
Hiyo mbona kawaida. Konokono wengine wala hawavutii kivile. Memba makini wa CHACHAWA unamtelezesha tu kutoka mguuni mwako halafu unasonga mbele. Nimekuelewa kamanda...
 
Slogan yetu sisi WAGUMU inasema, “Pambana mpaka mwisho” ili kuwafamisha wasio WAGUMU kutuelewa! Hata kama konokono akitambaa mguuni mwako, unampiga teke tu wewe unaendelea na yako! [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli WAGUMU
 
Back
Top Bottom