ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,468
- 67,492
Atauliza maswali tu huyoCc:mwenyekiti chawawa
Atauliza maswali tu huyoCc:mwenyekiti chawawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hakuna mgumu humuWewe UGUMU huuwezi aisee, duu! Wataka kula ugali kwa picha ya samaki? [emoji134]♂️[emoji134]♂️
Nifuate huku ninapoenda tafadhali..... !! [emoji39]Mpo wapiiiiiiii banduguuu
Hapo hujakosea. Memba mwanzilishi wa CHACHAWA baada ya kuutema ukatibu mkuu wa CHAWAMITA....Shimba ya buyenze
Simba ya wasafi... [emoji23] [emoji1]
Toa likes, posti, pata likesHakuna kitu kinanipaga rahaaaaaa kama likes.Hata kama Nina Stress zinaisha.Naombeni likes jamani Ndo ugonjwa wangu
Unapima kina cha bahari kwa mguu?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], nimeomba nisaidiwe naona kimya.
Kwendaaaaa,hakuna mgumu hapoYES, carbamazepine! [emoji123]
Huyu Shimba huyu, naona ana maexperience.Duh!!
Shimba asilipe tena adaEwaaaaaaa ushaelewa somo[emoji125] [emoji125]
Ishanitokea. Zaidi ya mara moja. Kweli kabisa ai swea. Hata wewe unaweza kujaribu kama nasema kweli ama la [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Weeee
Huo ujasiri huna,nasema hakuna mwenye ujasiri huoo
Eti "konokono" yuko anatambaa miguuni umpige teke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haitakaa itokee,nasema nevaaaaa
Sasa mbona wote wanaishi jangwan?CHACHAWA na CHAWAPUTA ni vyama pinzani kimantiki na kimsimamo japo kwa nje vinaweza kuonekana kuwa vinakamilishana.
Huwezi kuwa CHAWAPUTA halafu ujiite mgumu. Utakuwa mnafiki tu !!!
Sana...Huyu Shimba huyu, naona ana maexperience.
Aisee waweza fanya mtu aonekane chizi, maana nacheka peke yanguHasa kama kalengwaji ni kakimbau mbau. Ni kutobozesha tu mtelezo pfyuuuuuuuuu shaaabashiiii...imoooooo [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Kwisha habari yako[emoji23][emoji23][emoji23]Nina Kaupare Pare damuni. Ngoja nikakemee kabisa uwiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Me sitaki likes nataka quotes [emoji17]Toa likes, posti, pata likes
Hii ni sawa na kuuliza "nani aliliumba saksafoni la Mwakaleli?" Muumba wetu Ali/najua kila kitu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Konokono....nani kampa umbo lile...
CHACHAWA ndiyo nini sasa [emoji16] [emoji51] [emoji34]Hapo hujakosea. Memba mwanzilishi wa CHACHAWA baada ya kuutema ukatibu mkuu wa CHAWAMITA....
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], Shimba nina kiwi, naomba maji ya UZIMA.Wooooiiiiii[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kuna mtu atapata siriasi injari[emoji23][emoji23][emoji23]