Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wa kwako ni wale wanaopatikana kwenye mikondo ya bahari ya maji moto? Wale wanene wenye majimaji mnato?

Yule wala sikumgusa. Memba wa CHACHAWA wala haturuhusiwi kuwagusa konokono. Ukimuona tu unakaza macho mbele una-recite kiapo cha CHACHAWA halafu unaback off slowly....Thats what I did...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapana...
 
Back
Top Bottom